×
New!

Bayan Al Islam Encyclopedia Mobile Application

Get it now!

Maandalizi: Abubakari Shabani Rukonkwa

Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 17 (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya kumtembelea mgonjwa ametaja ubora wa mkutembelea mgonjwa, ikiwemo Malaika elfu sabini wanamuombea dua, na kuzungukwa na rehma, pia imefafanua maana ya malaika kumswalia.

Play
معلومات المادة باللغة العربية