×
Preparation: Yasini Twaha Hassani

Matendo katika siku za mina (Tashriq) 1 (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Matendo yanayofanywa katika siku za Minah (ayyamu Tashriq) na namna ya kurusha mawe (Jamarat) pia imezungumzia umuhimu wa kulala mina kama alivyofanya Mtume (s.a.w) na ubora wa kujiepusha na uzushi.

Play
معلومات المادة باللغة العربية